maisha hayaishi mambo, na kila uchao kuna jambo basi karibu tuenjoy pamoja katika jambo beat
Monday, June 22, 2009
NIKO KATIKA KIPINDI CHA KIJANJA!
Nilipata bahati ya kuingia katika kipindi cha kijanja THE SPLASH ila mhhh nilishika nafasi ya Mtoto wa mjengoni,Agnes Anderson ambaye hakuwepo kuikamata baada ya kufiwa na Aunt yake,ila nilikamata kisawasawa mpaka mwenye usukani wake Baba wawili Edwin Bashir alisaliti amri.
No comments:
Post a Comment