Wednesday, June 17, 2009

HALI BADO NI MBAYA TUENDELEE KUMUOMBEA!!!!!



KIPENZI CHA WATU,MWALIMU WA WALIMU,GENERALI BANZA STONE JAMANI HALI YAKE BADI NI TETE,JAPO AMETOKA HOSPITALI LAKINI KWA MUJIOBU WA NDUGU ZAKE NI KWAMBA HALI YAKE JAMANI BADO NI MBAYA SANA HAIKO TOFAUTI NA ILEILE YA AWALI ALOPOKUWA AMELAZWA,JAMANI WADAU MMHHHH TUENDELEE KUMUOMBEA!

1 comment:

  1. Karibu saaana Da Bahati. Ni furaha kuwa na mwanahabari mwingine wa kike kwenye ulimwengu wa ku-blog. Na tusonge.
    Kuhusu Banza nasi twamuombea na naamini katika makala yangu ya Alhamisi hii ntazungumza kiasi kuhusu yeye.
    Blessings

    ReplyDelete