Monday, July 6, 2009

KUTOZIKWA NA UBONGO

Ni kama anasema " Sijui nivae ipi hapa kwa siku ya leo"
Kuna tetesi kwamba hata kama atazikwa hapo kesho lakini baadhi ya viungo vyake vitaachwa kwaajili ya uchunguzi zaidi ukiwemo ubongo wake,huyo ni mfalme wa Pop duniani Hayati Michael Jackson.

No comments:

Post a Comment