Monday, July 6, 2009

SIJUI NDO KIFAA CHAKE KIPYA?


Ni mwanadada Rihanna ambaye kwasasa anatamba na wimbo wake mpya uitwao Te Amo wakiwa makini kuangalia kitu fulani,pembeni yake mi na wewe tuendelee kujiuliza cjui ndo mrithi wa Chriss Brown!

No comments:

Post a Comment