maisha hayaishi mambo, na kila uchao kuna jambo basi karibu tuenjoy pamoja katika jambo beat
Monday, July 6, 2009
RIHANNA APIGWA FAINI
Inasemekana kwamba anaweza akapigwa faini ya zaidi ya dola 1000 baada ya kuwachora watu tatoo huku akijua kabisa kuwa hana kibali cha kuwachora hizo tatoo
No comments:
Post a Comment