Teh teh teh teh nacheka kwanza jamani,mtoto kajaliwa maneno huyu mpaka balaa ndo maana twamwita GARI YA MANENO,leo eti kauliza katika kipindi kwamba pata picha mko watu watatu wewe,mumeo au mkeo na mama yakohalafu wanatokea majambazi yanasema yanataka mguu mmoja tu na siyo mguu wako wewe ila wanakupa jukum la kuchagua kwama aukate mguu wa nani kati ya wa mumeo au mkeo au wa mama yako mzazi! Mdau nisaidie ungekuwa wewe ungechagua waukate wanani hapo.
Wednesday, July 8, 2009
PUMZIKA KWA AMANI MFALME WA POP DUNIANI
Monday, July 6, 2009
SIJUI NDO KIFAA CHAKE KIPYA?
RIHANNA APIGWA FAINI
Subscribe to:
Posts (Atom)